Makaratasi ya kura huchapishwa nchi gani?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani?

Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa?

Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu?
 
Umenikumbusha jinsi mwaka 2010 watu walivyokuwa na imani kuwa zile kalamu zilizopo ndani ya vyumba vya kupigia kura ni.za ccm. Yaani ukipiga tiki yako kwa Dr. Slaa baadae inafutika inahamia kwa Kikwete.

Haya mambo haya...
 
Yanachapishwa nchi nyingi lkn ya Tanzania huchapiswa
Zimbabwe
China
Yugoslavia
Russia
Bulgaria
Slovokia
Mongolia
Kyerafaso

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani?

Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa?

Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu?

Yanachapishiwa nyumbani kwenu.
 
Makaratasi ya kupiga kura huchapishwa na Kampuni gani?

Swali la Pili: Kwa nini kuna tokea baadhi ya watu kukamatwa na kura zilizopigwa? ina maana kuna karatasi za ziada hutengenezwa?

Je, Intelligencia ya nchi inashindwa kunasa au ni mpango maalumu?

Jiwe ndio anaenda kutoa tender China ya kutengeneza karatasi za kura.
 
China ndio Rafiki wa Kweli

Kutuuzia vitu feki

Na kusaidia kubaki madrakani - ili wapewe tenda za ujenzi

Samaki wabovu kutoka China
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom