killo JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 401 Reaction score 98 Aug 25, 2012 #1 Ndugu wana jamii... Nilikuwa natokea maeneo ya Mbweni nikafika maeneo ya tegeta nikakutana na makarandinga 6 na ffu kama gari 15! Kulikoni yoyote mwenye taarifa?
Ndugu wana jamii... Nilikuwa natokea maeneo ya Mbweni nikafika maeneo ya tegeta nikakutana na makarandinga 6 na ffu kama gari 15! Kulikoni yoyote mwenye taarifa?
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,252 Aug 25, 2012 #2 Sensa mwana si kuna watu hawataki hesabiwa
danizzo JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 279 Reaction score 41 Aug 25, 2012 #3 Itakua ni michongo ya Liwalo naliwe! Tehe!
danizzo JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 279 Reaction score 41 Aug 25, 2012 #4 Itakua ni michongo ya Liwalo naliwe! Tehe!
C CHOMA Senior Member Joined Aug 22, 2012 Posts 118 Reaction score 9 Aug 25, 2012 #5 Hizo ndio heka heka za Sensa.Hao wanakwenda kuwalinda wanaoanza kuhesabiwa usiku.Au kwa maneno mengine ni wale walio kwenye maeneo hatarishi.Jiandae kuhesabiwa.
Hizo ndio heka heka za Sensa.Hao wanakwenda kuwalinda wanaoanza kuhesabiwa usiku.Au kwa maneno mengine ni wale walio kwenye maeneo hatarishi.Jiandae kuhesabiwa.
saimon111 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,359 Aug 25, 2012 #6 wamekuja kupiga raia
MAVUNO JF-Expert Member Joined May 29, 2011 Posts 791 Reaction score 668 Aug 25, 2012 #7 Liwalo na liwe