🤣😂 Achana na kifungashio, leta kwenye KIBEBEO.
We fanya vyovyote korosho zije, kiwanda changu cha kuzalisha mbegu za watoto kimekaukiwa, niletee hiyo MALIGHAFI nianze uzalishaji.
...hii malighafi hesabu umepata kaka maana ya msimu uliopita ndiyo namaliza kuipa madaraja. Kibebeo bei yangu ni afutatu tu hata diwani wa Mafia anajua, fanya kuituma kwenye namba zangu za kawaida
...hii malighafi hesabu umepata kaka maana ya msimu uliopita ndiyo namaliza kuipa madaraja. Kibebeo bei yangu ni afutatu tu hata diwani wa Mafia anajua, fanya kuituma kwenye namba zangu za kawaida
....hapana bloangu, alikuwa anaonesha mfano, Shunie hakuna kitu anaweza kunirahisishia, hajawahi na sina ubaya naye, na anafurahia nikipigwa kibuti cha mbavu.