Aikoooh! Wii Umenifanya nimkumbuke kaka wenu alinikomeshaga akanibadilishia psswrd msukule yule nimeomba msamaha kwa maandishi booklet mbili full
kama vile Marekani anavyoomba msamaha kwa Japan kwa lile bomu mpk leo. Ndo akaanza kunitajia herufi moja moja ya passwrd, kila mwezi anataja herufi moja eti
.