Kwahyo kipindi kile umeselfika yule alikuwa ni nani ana miguu mizuri vile? Na ulivaa nguo nyekunduShida ni kwamba huo mguu wenyewe sina
Aah P mimi huyuuuuKwahyo kipindi kile umeselfika yule alikuwa ni nani ana miguu mizuri vile? Na ulivaa nguo nyekundu
Auntie nimeumwa week nzima mpaka sasa hivi najisikia nafuu jamani nakuja kuulizwa leokweli tumebaki kuwa mtu na broh akee
Auntie huyo kwa dp ni nani etii
Pole Auntie...
Mkiwa mtu na Bro wake kama hivi huwa Inanoga sana... unamtania unavyotaka...
Huyo kwa DP ni Auntie yako Auntie..Wakati akiwa Msichana...
Naelewa inavyokuwa Auntie....Halafu hivi tulivyokuwa mtu na broh akee ndio napenda sanaaa tunataniana sanaaaa auntie yangu yupi alivyokuwa msichana
Daaah ila auntie kwahiyo sasa hivi umekuwa mzeeNaelewa inavyokuwa Auntie....
Si Auntie yako mimi....Hapo nikiwa Kigori, Mtoto Mayai
Kwisha habari yako🤣🤣🤣Hahhaha kweli ndio naulizwa leo
Duh, pole yakuchelewaAuntie nimeumwa week nzima mpaka sasa hivi najisikia nafuu jamani nakuja kuulizwa leokweli tumebaki kuwa mtu na broh akee
Auntie huyo kwa dp ni nani etii
Weeeh!! Pole sana auntiee. Bora chupa za kijani zipumue.Auntie nimeumwa week nzima mpaka sasa hivi najisikia nafuu jamani nakuja kuulizwa leokweli tumebaki kuwa mtu na broh akee
Auntie huyo kwa dp ni nani etii
Hahahahahaha,dah
Pole Auntie...
Mkiwa mtu na Bro wake kama hivi huwa Inanoga sana... unamtania unavyotaka...
Huyo kwa DP ni Auntie yako Auntie..Wakati akiwa Msichana...
HahahahahahahaNaelewa inavyokuwa Auntie....
Si Auntie yako mimi....Hapo nikiwa Kigori, Mtoto Mayai
Age Inakata tu AuntieDaaah ila auntie kwahiyo sasa hivi umekuwa mzee
MmhAge Inakata tu Auntie
Amekua mzee mwenzanguDaaah ila auntie kwahiyo sasa hivi umekuwa mzee
Ha ha ha...Hata wewe....Amekua mzee mwenzangu
Hata mimi ni muzeeHa ha ha...Hata wewe....
Basi tu swahiba, kuna kitu nimemiss kukiona,ngoja nitazame ktk gallery
Kitu gani Swahiba?