Makapuku Forum

Kabaki jirani peke yake,,teremundo wa binamu[emoji2][emoji2]

...ujue wewe ndo ndugu yangu pekee humu, yaani ngoja bunge la bajeti lipite, nitakutafuta na kwa kuwa bunge la bajeti huwa linapitisha hela basi nikikutafuta tu usianze kusema simu iliisha chaji au sijui nini
 
...its almost furahiday, kwa tunaofanya kazi za kulipwa kila wiki kesho ndo kesho asemaye kesho kutwa hajaiona kesho.
Burudika na muziki wewe mdau unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo,

...ujue wewe ndo ndugu yangu pekee humu, yaani ngoja bunge la bajeti lipite, nitakutafuta na kwa kuwa bunge la bajeti huwa linapitisha hela basi nikikutafuta tu usianze kusema simu iliisha chaji au sijui nini
Fursana zangu nakudai binamu
 
...ujue wewe ndo ndugu yangu pekee humu, yaani ngoja bunge la bajeti lipite, nitakutafuta na kwa kuwa bunge la bajeti huwa linapitisha hela basi nikikutafuta tu usianze kusema simu iliisha chaji au sijui nini
Hahaha sawa binamu,habari ya uzima huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…