Makapuku Forum

Hahahahahah hilo halinaaa shakaaa safari zako za china ndo zinafanya tusionanee mara kwa mara

Kwenye kuongeaa ni kunifundaaa au
Kheee
Ndio unayotaka kunifanyia surprise au halafu ebu fanya tuonane bwana

Ujue we mtu muhimu sana kwangu na mengi ya kuongea na wewe
 
Hahahahahah hilo halinaaa shakaaa safari zako za china ndo zinafanya tusionanee mara kwa mara

Kwenye kuongeaa ni kunifundaaa au
Hhaahhaha shenzy zako China my foot mfyuuuu wala naanzaje kukufunda mtu mzima wewe
 
Reactions: Lee
Weeeee kama ulikaaa nayo moyonii mpka nikagongwa na nyokaaa

Ila wewe na lileee lijamaaaaa
Hhaahhaha shenzy zako China my foot mfyuuuu wala naanzaje kukufunda mtu mzima wewe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…