Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Kwann pasifikike?
Si kwasababu umesema hujui unaenda kula wapiKwann pasifikike?
101-03-821.M|T|C
Hahaha, sema wewe tukale wapi
Hihihiii nisije nikakamatwaHahaha, sema wewe tukale wapi
101-03-821.M|T|C
Kukamatwa na nani? au wewe muhalifu ?
I see .... Mungu ni mwema! Nafuu ipo. Naendelea kutumia dawa nlizopewa!
Hvi unaendeleaje slim
Sasa nani akukamate?
Pole sanaI see .... Mungu ni mwema! Nafuu ipo. Naendelea kutumia dawa nlizopewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa,wasi,shaka na hofu, haya sema Kitimoto tukale wapi?
Nawe pia tunakupenda mama la mama!Muwe na mchana mwema makapuku wote popote mulipo
Nawapenda mm jamani
Kwani we upo wapi maana nisije nikakutajia sehemu ya kwenda halafu ukabaki unanishangaaOndoa,wasi,shaka na hofu, haya sema Kitimoto tukale wapi?
101-03-821.M|T|C
Hahaha, ulipo nipo ? 😛Kwani we upo wapi maana nisije nikakutajia sehemu ya kwenda halafu ukabaki unanishangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu njoo chemba,hapa watakuja kutudoea Kitimoto chetu
Hebu njoo chemba,hapa watakuja kutudoea Kitimoto chetu
101-03-821.M|T|C