Mazoea na mke wangu sipendiiii mmWatoto walionywewa daw utawajua tuu.. wana nongwa nongwa, kisirani kisirani, gubu gubu...
Halaf wewe sijui ulipatikana kwa mlonge.
Au we ni mtoto wa kuomba chin ya mibuyu
Mitoto ya kuomba mizimu hii.Umekosa wa kusalimia
Teh teh teh.. ushajua tuna matatzo sasa hofu ya nin, come on big boi jiamin bhana, salamtu yanakutoka, ningekwambia nimmemc si ungeazima hata ujuz wa mayweather wewe..Mazoea na mke wangu sipendiiii mm
Nyie wanaume wa dar mna matatizoo
Wewe jombaaa si moneytalk umekwepa majukumuMitoto ya kuomba mizimu hii.
Ukisema hivooo tuuuTeh teh teh.. ushajua tuna matatzo sasa hofu ya nin, come on big boi jiamin bhana, salamtu yanakutoka, ningekwambia nimmemc si ungeazima hata ujuz wa mayweather wewe..
Nimekwepa wapi majukumu, kile kipapatio, mie nakulaga mapaja na firigis zake..Wewe jombaaa si moneytalk umekwepa majukumu
Afanye tuu.. mie moyo mkunjufu.Ukisema hivooo tuuu
Binamu anafanya yakeee
Ukimqnishaaa jamaa ameuziwa mbuzi kwenye guniaNimekwepa wapi majukumu, kile kipapatio, mie nakulaga mapaja na firigis zake..
Halintoshi paja ndio itakuwa kile kipapatio.
Unamjuaa unamskiaa???Afanye tuu.. mie moyo mkunjufu.
Yee afanye tuu, mie sina nenoWewe jombaaa si moneytalk umekwepa majukumu
La hasha! Sijasema hivyo umenikoti vibayaUkimqnishaaa jamaa ameuziwa mbuzi kwenye gunia
Namsikia tuu.Unamjuaa unamskiaa???
Yee afanye tuu, mie sina neno
Kwanza ananiepusha na murder case mtoto asije kunifia kiunon bure mie. Yakanikuta ya hussein machozi
Hapana nimejiongezaa make angelisema mwingine nisingekuwa na shaka ila wewe kidogo tu uingie kwenye system alafu sijui ukashtuka ....alafu unasema hayo yawesekana kuna nje ya box unajuaLa hasha! Sijasema hivyo umenikoti vibaya
mchokozi kweli wewe..
Aahh... Nin nje ya box hata ingekuwa ndani ya box.Hapana nimejiongezaa make angelisema mwingine nisingekuwa na shaka ila wewe kidogo tu uingie kwenye system alafu sijui ukashtuka ....alafu unasema hayo yawesekana kuna nje ya box unajua
Mkuu wewe kibooookooooo....Aahh... Nin nje ya box hata ingekuwa ndani ya box.
Wacha kusema urongo.