Makao Makuu ya SIDO yako wapi?

panda bus LA Gomz kisha waambie wakushushe kituo sido IPO karibu na jet na kipawa
 
Ninashida na hawa watu ni mhimu Sana kwa sisi tunaojikongoja na kuanzisha Small processing industries.
Naombeni mnijuze plzz..
 
mkuu ofisi za sido makao makuu yapo upanga karibu na shule ya mzizima sec pale pia tawi lao jingine lipo kama unaelekea gongo la mboto kunakituo kabisa kinaitwa sido shuka upande wa pili wa barabara utaona ofisi zao...nadhani nimekusaidia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…