Mkuu wa mkoa kwa maana ya serikali wamesema yaende Ilongero,CCM imesema yaende Ilongero,sasa nani mwingine anakataa? We unaasume watu wote wanaujua huo mgogoro.Siku nyingine fafanua vzr.
Ilongero imedumaa kimaendeleo ni ya mda mrefu lakini mabadiliko ni kidogo sana, Pia ipo ndani ya 30kms kutoka Singida mjini so iko ndani ya manispaa, kwa ajili ya kupanua maendeleo ya mkoa me naona yaende Saga rumba,Sio kila kitu kiwe Ilongero,kwanza kutakuwa na movement nzuri sana,kama Sagarumba itakuwa sub-town- Ilongero tayari ni sub town, ata vijana wa boda boda watakuwa bize kufanya kazi.