Zegreaty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 2,504 Reaction score 3,188 Jun 22, 2024 #61 Ngongo said: Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi. Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli. Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani. Ngongo kwasasa Makuyuni. Click to expand... Tangia wapite wateule wa chama wameondoka na nyota yake yapilau kavu
Ngongo said: Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi. Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli. Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani. Ngongo kwasasa Makuyuni. Click to expand... Tangia wapite wateule wa chama wameondoka na nyota yake yapilau kavu
K kemet Member Joined Mar 5, 2018 Posts 25 Reaction score 12 Jun 22, 2024 #62 deblabant said: Siku akifa makonda nitafurahi sana kama nilivyokunya cret nzima ya bia siku alipokufa jpm Click to expand... Duh! ulikunya Kreti la bia...
deblabant said: Siku akifa makonda nitafurahi sana kama nilivyokunya cret nzima ya bia siku alipokufa jpm Click to expand... Duh! ulikunya Kreti la bia...
G guest-1790917349 Guest Jun 22, 2024 #63 Nahonyo said: Ndiyo ujue wananchi wa Nchi hii ya Tanzania, wengi tunaongozwa na chuki na ushabiki, mpaka tunachokitaka inakua hatukijui. Click to expand... Yaani duh roho mbaya Wangapi wanaoharibu na hakuna Cha maana Bora ht makonda Kuna kitu kafanya aisee ht km aluzingua huko awali Kila mmoja ana stahili nafasi ya pili
Nahonyo said: Ndiyo ujue wananchi wa Nchi hii ya Tanzania, wengi tunaongozwa na chuki na ushabiki, mpaka tunachokitaka inakua hatukijui. Click to expand... Yaani duh roho mbaya Wangapi wanaoharibu na hakuna Cha maana Bora ht makonda Kuna kitu kafanya aisee ht km aluzingua huko awali Kila mmoja ana stahili nafasi ya pili
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,676 Reaction score 42,787 Jun 22, 2024 #64 kemet said: Duh! ulikunya Kreti la bia... Click to expand... Watu wamejaliwa maumbile sipati picha hilo nyeo la kupitisha kreti la bia.
kemet said: Duh! ulikunya Kreti la bia... Click to expand... Watu wamejaliwa maumbile sipati picha hilo nyeo la kupitisha kreti la bia.
N ngaiwoye JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 2,582 Reaction score 4,000 Jun 22, 2024 #65 Alhamdulilah kijana wetu amerejea akiwa na siha njema.
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,781 Reaction score 11,656 Jun 22, 2024 #66 Magufuli 05 said: Ulichokiandika hapa ndiyo tafsiri halisi ya mjinga. Wewe ni mjinga. Mjinga hukesha kufurahia anguko la watu wema. Click to expand... Huyu sio mjinga,huyu ni MPUMBAVU.
Magufuli 05 said: Ulichokiandika hapa ndiyo tafsiri halisi ya mjinga. Wewe ni mjinga. Mjinga hukesha kufurahia anguko la watu wema. Click to expand... Huyu sio mjinga,huyu ni MPUMBAVU.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,158 Jun 22, 2024 #67 Chakaza said: Kwa hiyo kwako wewe kuabudu mizimu ya kwenu ni ushirikina, na kuabudu vya wazungu na waarabu au wahindu kwako ninini? Click to expand... Mizimu ndio nini,tuanzie hapo!! Unamaanisha wafu wanasikia na kupokea Ibada Toka Kwa Walio hai?
Chakaza said: Kwa hiyo kwako wewe kuabudu mizimu ya kwenu ni ushirikina, na kuabudu vya wazungu na waarabu au wahindu kwako ninini? Click to expand... Mizimu ndio nini,tuanzie hapo!! Unamaanisha wafu wanasikia na kupokea Ibada Toka Kwa Walio hai?
C citizensindevelopment18 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 1,707 Reaction score 881 Jun 22, 2024 #68 Chance ndoto said: Yaani simpendi makonda ila Arusha katulia na anafanya kazi alliyotumwa. Makonda wa dsm alikua mbogo kweli kweli. Click to expand... Humpendi unataka akuoe
Chance ndoto said: Yaani simpendi makonda ila Arusha katulia na anafanya kazi alliyotumwa. Makonda wa dsm alikua mbogo kweli kweli. Click to expand... Humpendi unataka akuoe
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 10,047 Reaction score 9,346 Jun 22, 2024 #69 Kama kawaida, nyumbu mmekosa cha kuandika inabidi mmrudie Makonda ili mtrendi.
Baba Rayhaan JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 643 Reaction score 447 Jun 23, 2024 #70 Kimalingano said: migogolo Click to expand... Kimalingano said: migogolo Click to expand... Kimalingano said: Ngolongoro Click to expand... Mh 🤔
Kimalingano said: migogolo Click to expand... Kimalingano said: migogolo Click to expand... Kimalingano said: Ngolongoro Click to expand... Mh 🤔