Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Tayari wakuu mmesha sahau hapa Iringa mtaa wa sabasaba yalipo makao makuu ya ccm ya wilaya na nyumbani kwa kada maarufu na kamanda wa vijana wa ccm tena mwarabu na mkwe wa tezi dume yapo chini ya cdm.Isitoshe hata makao makuu ya mkoa hapa Iringa mtaa wa makorongoni yapo chini ya cdm.nadhani hilo gazeti la uhuru wanajifariji baada ya msiba mkuu ambao haujawahi na wala hawakuwaza wala kufikiri kama ungetokeaHata pale ikulu ya Mwanza kuanzia wa kitongoji mpk mtaa m/Kitu ni CD, itabd kila mkulu anapoingia watoe taarifa kwanza kwa m/kiti wetu
Kizota Dodoma kuwa chini ya CDM hiyo imekaaje? Makazi ya Waziri Mkuu huko Chanika kuwa chini ya CDM ikoje?
.
Nyie mngeshinda mtaa wa lumumba si mngejaza sever hapa, kupata izo 28% imekuwa balaa.
safi sanaHivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.
wonderful
safi sanaCode:
Unajua kopo la choni likiangushwa linatoaga sauti sasa hizi ni sauti za kopo la choo
Nyie mngeshinda mtaa wa lumumba si mngejaza sever hapa, kupata izo 28% imekuwa balaa.
Kwani awali huu mtaa ulikuwa chini ya chama gani? Si ni nyie misisiem mlikuwepo hapo siku zote.
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.
wonderful
Hivi ndivo linavosomeka gazeti la Uhuru no baada ya serikali ya mtaa yalipo makao makuu CHADEMA kugalagazwa vibaya na hivyo mahitaji ya CHADEMA makao makuu mtaani lazima wafike ofisi za mtaa za CCM.
wonderful
Lini tena zimekuwa 28%, siyo 10% tena??
Tutaheshimiana tu. Hasira za Herode!.
Izo 28% ndo mlizopata 2010 Mkadanganywa eti zingine zimeibiwa, TWAWEZA walipotoa takwimu zinazokaribiana na hizo mkadai wametumiwa, Ila tunashukuru mmeanza kukua maana haya matokeo mmeyakubali.
Hata 2015 Mtakuja na Story kuwa Kura zenu zimeongezeka badala ya ushindi.
Kaeni kwa amani siku zote za maisha yenu! Matusi, majigambo na kejeli havijengi nchi. Tuitazame nchi yetu kwa mawanda mapana sana ili pale inapotokea issue ya kitaifa tuijadili na kupata majibu bila kujali itikadi zero za vyama vya siasa. CCM, CDM, NCCR, TLP, CUF n.k vitakwisha lakini Watanzania hawataisha!