Makanisa yamezid

Opticf

Member
Oct 4, 2012
62
4
Hko kijijin kuna mzee mmoja alienda kanisan akiwa amejiandaa kwa wk zima sadaka ya sh. 200 kumbe hpo kanisan et hawana kawaida ya kutoa salaf, kwao ni noti tu i mean kuanzia 500,1000,2000,5000 ama 10.000. Alipoitoa tu wkt wa sadaka wakamrudishia km ww ungefanya nin?
 
mtu mmoja aliwahi kusema " ukiona unaenda sokoni na sh. 1000/= na ukaiona ni ndogo haitoshi then 1000/=
iyo hiyo ukaenda nayo kanisani ukaona ni kubwa ujue una matatizo"
 
Hko kijijin kuna mzee mmoja alienda kanisan akiwa amejiandaa kwa wk zima sadaka ya sh. 200 kumbe hpo kanisan et hawana kawaida ya kutoa salaf, kwao ni noti tu i mean kuanzia 500,1000,2000,5000 ama 10.000. Alipoitoa tu wkt wa sadaka wakamrudishia km ww ungefanya nin?

Wewe acha ubahili! unashindwaje kumtolea MUNGU pesa ya uhakika unatoa coins? .... halafu unasingizia mzee mmoja kumbe ni wewe
 
Pilau huwez jua maisha ya kijijin wazee kutafuta pesa ni ngumu , usifikir hk mjin ambako 30000 ni kawaida tu kuitoa sadaka, hii ni kwel na si mm mkuu
 
Back
Top Bottom