Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,445
Leo jioni Ndugu Mohammed Gharib Bilal amefika hapa Msasani kumpa pole Mama Maria kuhusu kifo cha Wakuru,aliekuwa mke wa John Nyerere.
Hivi bado unakaa kwa wazazi wako?Leo jioni Ndugu Mohammed Gharib Bilal amefika hapa Msasani kumpa pole Mama Maria kuhusu kifo cha Wakuru,aliekuwa mke wa John Nyerere.
Hongera Mkuu! Me ningekua Ndio wewe Hakuna Kiongozi wa juu wa Nchi hii ningeacha kumjua! Yaani ningekua Naenda Ikulu Kama Naenda Ila Boma vile.Ndio mara ya kwanza nimeonana na Mr Bilal.
yale matusi uliyonitukana""msenge,hayawani,etc,""ulinitukana kwa vile ulikuwa hujui kuwa ni matusi.Niwie radhi kama umechukulia ni tusi na tayari nimeshafuta nilichoandika, Pole sana!
,.?! yale matusi uliyonitukana""******,hayawani,etc,""ulinitukana kwa vile ulikuwa hujui kuwa ni matusi.
Kwa mara ya kwanza tokea nimeingia JF leo ndio Barbarosa umeomba msamaha ambao umenigusa moyoni,sasa sijui sababu ya wine! Ila nina hakika,kama ulitukana,kwa msamaha huo,inaashiria hukukusudia. Pole mkuuIngawaje sikumbuki kama niliwahi kulitumia hilo neno dhidi yako lkn kama niliwahi basi narudia tena kum radhi, na nitajitahidi kuangalia ni nani namjibu vipi na ktk mazingiri gani saa nyingine tunakuwa carried away na mtiririko wa maisha lkn narudia tena Pole Sana!
Pamoja Sana!
Mzee naona umeamua kuwa ripota.Enewei mpe salamu mama wa taifa.Leo jioni Ndugu Mohammed Gharib Bilal amefika hapa Msasani kumpa pole Mama Maria kuhusu kifo cha Wakuru,aliekuwa mke wa John Nyerere.