Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
Sahivi nchi inatafunwa haswa, kila siku safariniUVCCM_ TAIFA
JUNI 30, 2022
LIBSON_ URENO
PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. PHILIP ISDOR MPANGO akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ureno, Mhe. Marcelo Rebelo de Sousa na baadae kufanya mazungumzo katika Ikulu ya Ureno Mjini Libson.
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
View attachment 2277309
Loyo tuwaUkiuliza amefuata nini hakuna cha maana
Hapo sawaLoyo tuwa
Ameenda kufungua nchiUkiuliza amefuata nini hakuna cha maana
Ndiyo kichaka chao cha kupiga pesaAmeenda kufungua nchi
Wanakula kwa urefu wa kamba zao.Ndiyo kichaka chao cha kupiga pesa
Nchi ya kitapeli snWanakula kwa urefu wa kamba zao.
Cha kusahngaza sisi hatutembelewi na wageni wa aina ya Rais/Makamu/PM toka nje ya nchi. Yelewi, kuna shida.Sahivi nchi inatafunwa haswa, kila siku safarini
Nje wanalipwa pesa ndefu kuliko wakija huku mikoaniCha kusahngaza sisi hatutembelewi. Yelewi.
Watanzania ni watu wa ovyo sana Marehemu Magufuli aliamua kukaa ndani ya bila kusafiri mkamsema sana hawa wa sasa wanapiga route mnawasema tena,mnataka viongozi wetu wafanye nini?Cha kusahngaza sisi hatutembelewi na wageni wa aina ya Rais/Makamu/PM toka nje ya nchi. Yelewi, kuna shida.
Sawa ni International diplomacy. Lkn Tanzania na Ureno wapi na wapi ?UVCCM_ TAIFA
JUNI 30, 2022
LIBSON_ URENO
PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. PHILIP ISDOR MPANGO akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ureno, Mhe. Marcelo Rebelo de Sousa na baadae kufanya mazungumzo katika Ikulu ya Ureno Mjini Libson.
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
View attachment 2277309
😄😄😄aisee nlikuwa sijaona yani limechapia mbayaLIBSON?
Uchawa unalipa sana hapa Tz kwa sasa.Kwa hiyo vijana wetu wa Uvccm Taifa, jukumu lenu kuu kwa sasa ni kuwasifia tu viongozi wenu wawapo katika ziara zao za nje!
Yaani mnfanya kazi ya uchawa, badala ya kutumia nguvu kubwa kwenye kukijenga chama! Ngoja 2025 ifie! Haki ya nani hamtaamini matokeo ya uchaguzi mkuu, iwapo tu Tume Huru ya uchaguzi itapatikana kabla ya wakati huo kuwadia.