PostGE2025 Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano

PostGE2025 Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitembelea na kukagua jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira linalojengwa katika Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma na kuzungumza na watumishi wa Ofisi.

Back
Top Bottom