Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Kwenye Ushirikina na kiini Macho GHARAMA huwa haziulizwi..... open chek !!!Utagharimu tsh ngapi mpaka kumaliza mbio zakeee
Kama Magufuli alithubutu kupasua jipu na kuzifuta sherehe za Uhuru na Muungano na pesa hizo za walipa kodi kuzielekeza kwenye shughuli za maendeleo.MWENGE: Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan awasili Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya kuzindua mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mwenge huo wa UHURU utakimbizwa nchi nzima katika yote Mikoa 31 na Halmashauri 173.
#Mwananchi18Aprili2016
Tusitegemee kufutwa leo wala kesho
ThubutuuuKama Magufuli alithubutu kupasua jipu na kuzifuta sherehe za Uhuru na Muungano na pesa hizo za walipa kodi kuzielekeza kwenye shughuli za maendeleo.
Tunamtarajia sasa alipasue jipu kubwa zaidi la mbio za mwenge ambazo ni kama tu zinafanya shughuli za nguvu za giza, ili pesa hizo za walipa kodi ziweze kufanya shughuli za maana zaidi za maendeleo.
Mimi najua utamu wake,Nazipenda sana, ni fursa niliyoikosa kwa miaka mingi sema walio wengi hawajui utamu wa mbio za mwenge
Mpaka hapo tu inatosha kwa utamuMimi najua utamu wake,
1) wakimbiza mwenge wanachinjiwa ng'ombe na mbuzi bure
2) Fedha za halmashauri (magari na wafanyakazi vinatumika including kutumia fedha zisizohusika)
3) Kila unapolala mwenge lazima kuwe na mkesha - music, pombe na wanawake - UKIMWI njenje
4) Allowance tamu kwa wote.....
5) Ongeza zako.....
Sheeda kuabudu moto.Tanzania hatutakuja kuendelea kwa ajili ya laana ya mwenge
unatugharimu zaidi bilioni 14 sijui hata faida zakeUtagharimu tsh ngapi mpaka kumaliza mbio zakeee
Mbona kuna nchi nyingi tu hazijaendelea pamoja na kwamba hazina mienge!Tanzania hatutakuja kuendelea kwa ajili ya laana ya mwenge