Bilal hana nguvu, hawezi msaidia chochote
mkuu ni dk wa wanyama
Muhimu hapa ni kujua Serikali ilitoa shilingi ngapi kumsaidia Kibanda akiwa kwenye matibabu kwa miezi mitatu.

Huyu ni Phdmkuu ni dk wa wanyama
mkuu umeandika vizuri sanahivi wewe ni Manyerere ninayemjua au siye? siamini kama unaweza kuandika huu utumbo!
pesa ni nini? watu wanataka kujua watesaji na hatua za kuchukua ili yasitokee tena,siyo kutibiwa na serikali.
wakianzisha operation ya kuwang'oa kucha na macho kisha wanawatibisha bure utakubaliana nao?
punguza tamaa ya pesa kamanda!
Mkuu hilo nalo neno