Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 875
- 960
*Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan* leo tarehe 02 Machi, 2017 amefanya mazungumzo na *Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Idara Kuu, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga* ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam.
*(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)*
Makamu wa Rais wa Nchi yangu... *mchapakazi, mzalendo na msimamizi makini wa afya na maendeleo ya ustawi wa jamii katika nchi yangu...*
Nchi yangu...
*Matokeo chanyA+*