Ndio mkuu sijawahi kupata ajira ya mkataba zaidi ya vibarua tuDuuh,kwa hiyo tangu 2016 hujawahi kuajiriwa??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana mkuuHakuna cha JKT.Nenda utapata.
Kwa mwanga zaidi pitia hapa: Graduate ninayefanya kazi ya Ulinzi, niulize chochote kuhusu sekta hii
Kumbuka : GardaWorld, SGA, G4S, Insight Security taratibu zao nyingi ikiwemo mishahara ni almost the same.
Unachoshangaa?Duuh,kwa hiyo tangu 2016 hujawahi kuajiriwa??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
asante kwa ushauri wako mkuu. Ngoja nifanye hivyoDuu 2016 mbali
Nenda Garda wapo Mikocheni Warioba uko G4S sifa za kuomba kazi zakiduanzi yaani mpaka nani na nani anajua sijui shekhe wa nini ramani ya geto nk
Ila peleka mahombi shule kadhaa kwanza then sikilizia mwaka wa masomo unaisha huu peleka shule ndogondogo then mwezi wa kwanza fanya Followup kuulizia
Hivi sasa kuna vugu vugu la watu wote walio ajiriwa walipwe kulingana na elimu zao hivyo ukiweka vyeti vyako vya elimu ya juu kabisa kwenye hiyo sekta ya ulinzi hutopata ajira kwa sababu hakuna kampuni ya ulinzi itakayokuwa na uwezo wa kukulipa kulingana na vyeti vyako...{ila hizo ni akili za kuambiwa tu changanya na zakwako kila mtu na bahati yake}Kwani nikianzia cheti cha form six au chuo kabisa kuna ubaya wowote?
Nimekupata mkuu asante sana hapo naanza na cheti cha form four na six tu basiii kama ipo ipo tu hakuna haja ya kuwa mwogaHivi sasa kuna vugu vugu la watu wote walio ajiriwa walipwe kulingana na elimu zao hivyo ukiweka vyeti vyako vya elimu ya juu kabisa kwenye hiyo sekta ya ulinzi hutopata ajira kwa sababu hakuna kampuni ya ulinzi itakayokuwa na uwezo wa kukulipa kulingana na vyeti vyako...{ila hizo ni akili za kuambiwa tu changanya na zakwako kila mtu na bahati yake}
Achana na six....weka cha form four...Nimekupata mkuu asante sana hapo naanza na cheti cha form four na six tu basiii kama ipo ipo tu hakuna haja ya kuwa mwoga
Kwa mwanza wapo pembeni ya rockbeach Yani kile kibarabara cha kamanga ferryHawa garda wanapatikana mikoa ipi mkuu?
Mkuu madini haya ulionipa hakika nimeyaelewa sana nitayafanyia kazi mkuu nashukuru sana kwa ushauri huu.achana na six....weka cha form four...
wenzako huwa bahati zinawakuta wakisha pangiwa kazi...unaweza ukapelekwa kufungua geti au kulinda sehemu ambayo inaendana na elimu yako...huko sasa unaweza kuweka cv yako ukiambatanisha navyeti vyako...ila kwa kuanzia kwenye kampuni za ulinzi tumia cheti kidogo...ikiwezekana kama unacho cha lasaba kitumie
Kuna ajira hizi apa za ualimu shule privateNipo dodoma hapa mkuu ila sijajua kama na hapa wapo au vipi maana hao G4s wao wapo dar mwanza arusha na mbeya nafikiri mikoa mingine hakuna