MAKAMBO ATOWEKA KAMBINI

MAKAMBO ATOWEKA KAMBINI

saimon amos

Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
16
Reaction score
7
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote.

Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa Makambo ametoweka na mabegi yake katika hotel aliyokuwa akiishi bila taarifa rasmi huku simu yake ikiwa haipatikani hewani.
yangampya-20190114-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa kakumbuka bolingo za kule kwao, ngoja akatoe hamu atarejea tu
 
Hii ni dhana ya mtu asiye na akili! Ya Makambo yanawahusu nini? Kwa taarifa yako Makambo ametoka hotelini na begi lake kwasabb amepangiwa nyumba, wewe baki na uzushi wako huku mashujaa wakikutia aibu ... Mbumbumbu always is mbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app

Umejibu kwa panic, kunywa maji kwanza halafu urudi kutueleza vizuri.
 
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote.

Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa Makambo ametoweka na mabegi yake katika hotel aliyokuwa akiishi bila taarifa rasmi huku simu yake ikiwa haipatikani hewani.View attachment 994102

Sent using Jamii Forums mobile app
no research no right to speak bwana mdg
 
Back
Top Bottom