Makambako: Gari la Polisi lapinduka

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,485
Gari la Polisi limepinduka leo Makambako. Mmoja amepoteza maisha ambaye ni dereva.
 
Attachments

  • IMG-20141220-WA0030.jpg
    189 KB · Views: 3,502
Gari la Polisi limepinduka leo Makambako. Mmoja amekufa ambaye ni dereva.

oooh.....RIP afande.........
chanzo cha mpinduko ni nini........?
 
wafe wafe wafe wapigwe wapigwe

wapinduke wafe wapinduke wafe

wafe wafe wafe wapigwe wapigwe

wapinduke wafe wapinduke wafe
 
Angekua babayako ungeandika hivi????. Nyau wewe. Son of bitch.

mbona mbovu limekutoka sana hawa polisi wa ccm wakifa mateso kwa wananchi yanapungua kama kuna baba yako amekufa kwenye hiyo ajali pole sana
 
mbona mbovu limekutoka sana hawa polisi wa ccm wakifa mateso kwa wananchi yanapungua kama kuna baba yako amekufa kwenye hiyo ajali pole sana

Unachoshindwa kujua kuwa police ni kazi km kazi zingne, tena kazi ya wito so naumia mjinga mjinga anavowadic police, natamani hata kumtoa kende. Mtu analindwa yy na mali zake then he/she speak waste.
 
aaah!!pole familia ya dereva...lkn naye amekufaje mbona ajali si mbaya!
 
Unachoshindwa kujua kuwa police ni kazi km kazi zingne, tena kazi ya wito so naumia mjinga mjinga anavowadic police, natamani hata kumtoa kende. Mtu analindwa yy na mali zake then he/she speak waste.

acha kutetea upumbavu polisi wanatumiwa na ccm katika vitu vingi hata kwenye wizi wewe unaotetea polisi unajua vizuri au unakurupuka kama umetoka msalani
 
mbona mbovu limekutoka sana hawa polisi wa ccm wakifa mateso kwa wananchi yanapungua kama kuna baba yako amekufa kwenye hiyo ajali pole sana

Af we boya kwelii hivi kuna polisi wa ccm😳😮😒😶 af chadema wakipita wataletwa polisi wengineee??😥😨🙊🙊nijuze babaa maana me sijuiii
 
Gari limepona? Polisi wengine wamefia hospitali au njiani? Halijagonga miti ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…