Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Nimesikitishwa na kitendo cha January Makamba kwenda Mwanza kushughulikia Bima ya afya kwa waendesha bodabpda. Makamba amekwenda kama nani? Kwa gharama ipi? Ni wizara gani inashughulikia suala hili?
Hivi hawa mawaziri hawana Job Descriptions? Waziri wa afya akilia kuingiliwa majukumu anaonewa?
Sitoona ajabu kesho nikimuona makamba kasimama barabarani akifanya ukaguzi wa driving license, maana sasa kila kitengo yupo. Muda wa kujipanga kwa urais ameshachelewa ndo maana anakurupuka kila kitengo.
Umeme umemshinda ya bodaboda atayaweza?