The retired soldier
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 104
- 218
Vocal means- expressing opinions or feelings freely or loudly.
Najua Mwigulu anausaka Urais Kwa baadaye...!! Makamba atasema hausiki..yeye atadai anadeal na mazingira na muungano.
But ukimya wa hawa vijana wenzetu Kwa jambo ambalo linafanywa na kijana mwenzao linatuacha dilemma vijana wenzao. Mwigulu dawati lako limeguswa sana na Dogo, but umekuwa mkimya sana..why? Kipindi cha Jk kidogo kwenye escrow ulitikisa mabawa ..na hata katiba msimamo wako ulikuwa serikali 1. Leo jamaa yako Ruge anavamiwa na bunduki tena wewe ukiwa km waziri wa mapolisi umekaa Kimya, hata kulaani tu. Mwigulu ukimya wakati km huu ni udhaifu sana. Najua una malengo makubwa ya kisiasa baadaye ambayo unahitaji angalau ubakie relevant.
Lakini Kwa hili la Jana tutakukumbusha mwaka 2025. La madawa japo ulionesha ukimya but tulielewa your SMS. But Kwa hili angalau ungelaani na kutoa angalizo tu. Mapolisi wewe ndo Mkubwa wao..ni wewe ambao mwezi ujao utaenda bungeni kuwaombea pesa ya bajeti. Jiamini Mwigulu usiwe mpole sana. Biblia ilikataa upole wa aina hiyo.
Makamba, Nape na Mwigulu ndo vijana pekee ambao waliopambana sana Nchi nzima kumpambania Ccm na magufuli..!! Mlijitoa sana. Kujitoa kwenu kwenye lazima mpambane na hadi Leo kuilinda image ya chama. Leo hii mnakubali kwamba kuna wengine wanafukuzwa Kwa kashfa ya vyeti , na mwingine anaachwa. Makamba yupo busy na viroba ..hamna muda. But kumbuka chama kinapotea ..2025 ntakukumbusha:
Safi Nape, mi huwa nakuelewa sana. Nakukumbuka tokea miaka 2005 ulivyokuwa unamake headline kwenye magazeti kuhusu sakata la makamba baba, na lowasa kuhusu jengo. Nakumbuka jinsi ulivyokuwa mwiba kwakina malisa ( former chair wa uvccm) kipindi hiko vijana wananguvu kweli kweli.
Nape ni vocal sana. Safi sana nape. Unajitahidi sana. Bora wewe unaonesha ukubaliani na uhuni wa huyu Dogo. Safi nape ..! Haiwezekani MTU akaingia na mitutu Mwigulu Kimya..haiwezekani MTU anawataja watuhumiwa wa madawa kama wauza karanga.. Bado Mwigulu Kimya. Bado huyo huyo magari ya watuhumiwa wa madawa yamekuwa yake ..bado Mwigulu Kimya.
Mwigulu hutufai hata baadaye na ukafute mabango yako mwanza ya kampeni. MTU muoga hatumtaki.
Makamba yupo anakimbizana na viroba...sijui yeye amekuwa tamisemi, au afya..
Mwigulu yupo busy na Yanga. Labda ngoja yanga watolewe shirikisho, atatoa tamko. Mweee!!