Makamba: Msifadhaike!

Makamba, makamba, makamba so what is makamba now by the way mwacheni afuge kuku Lushoto mnamkuza na kumtangaza wa nini na wakati mmeambiwa ni gamba? Kwani gamba livuliwa linaendelea kukumbukwa tena?
 
Why do you waste your time na mtu ambaye hata CCM haimtaki. Just imagine umekataliwa na CCM, kweli wewe utakuwa ni mali? :rant:
 

Hayo ni matusi kwa waumini wa imani ya kikilisito gamba kujifananisha na mpakwa mafuta kwanini asijifananishe na muhamadi budha kilishina babi bahaul nk
 
Si sahihi hata kidogo, yesu hakuwa na chama cha siasa na hakuwahi kuwa katibu katika falme za baba yake na hakuwahi kufukuzwa kazi. Yesu maisha yake yote aliwapigania na kutetea haki za wanyonge, pia alichukia mitume ambao hawakuwa waadilifu na wachapa kazi. Makamba maisha yake yote kama katibu mkuu wa chama cha magamba (CCM) aliwatetea mafisadi akina EL, RA na AC. Alitetea kauli mbiu ya maisha bora kwa kila fisadi badala ya kila mtanzania. Huko aendako kuandaa maisha ni ahera ya jehanamu kwa hiyo ujumbe wake uliwafikia wale waliotetewa kwa nguvu zote na uongozi wake katika chama. Asamehewe wakati hakukiri madhambi ya kuwatukana wazee wa chama, wanachama na watanzania kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…