Makamba Hakumtendea haki Nauye

Hata kama Nape anakigeuza chama kama Taasisi yake ni wakati wake wake kufanya hivyo kwani Yushuph makamba haya ni matunda yako uliacha umeyatengeneza mwenyewe Je? wewe Makamba umesahau ulivyokuwa enzi yako ukiwa kama katibu mkuu wa CCm ulivyokuwa ukibwabwaja hovyo......... mpaka kwenye majimbo heshima yako ilianza kupotea toka Tarime kwenye uchaguzi mdogo hiyo ndiyo kwaheri umekwishaaaaaaaaaaaaaaa. zama zako zimeisha ni wakati wa Vijana makada wa chama chenu. mujwahuzia
 
Unataka Nape atendewe haki wakati yeye ndo anaongoza kwa kuvunja haki za wengine, Nape anasema wote wanaotoka ccm kwenda CDM walikua Mzigo Nape kutoa siku tisini mafisadi wajiondoe ccm kumbe hakutumwa aseme hayo, ni wangapi wanaathiriwa na maamuzi ya Nape? Wana ccm wameanza kukosa imani nae na anatakiwa ajitathimini nae Ni MZIGO ccm
 
Back
Top Bottom