Makamba afichua siri ya Richimond

Makamba afichua siri ya Richimond

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00448.jpg
 
Kila wanapoitaja richmond,lowassa anazidi kusafishika na jk anazidi kuchafuka.Kwa ufupi richmond itampeleka lowassa magogoni..timu ya kampeni yote ya ccm inampigia debe lowassa...magufuli wake up,hii ni hujuma unafanyiwa.
 
Inapita ccm wala hana shida magufuli Raisi ila kazi ipo hapo mmemtumiya huyo lowassa mtamuthamini akikosa?mtei atakubali kumpa uwenyekiti!? Je atakuwa anaweza akilajitabuwa maamuzi ya mafikra?je atakuwa na kumbukumbu ya kujuwa jana niliongeya nini? ,poleni sana kwa mungu mtajibu kumtumiya mtu kwa manufaa yenu!mtajibu tuuu mbele yake mungu
 
Ushabiki wa kichagaa huo hawajui mahaba kwani hata lowassa amewahamasisha mahaba
 
hamna siri hapo,kitu kina mafaili kibao mpaka Slaa anatembea nayo,ripot ipo kumbukumbu za bunge, siri gani, mungu awasamehe wasema sana
 
Inapita ccm wala hana shida magufuli Raisi ila kazi ipo hapo mmemtumiya huyo lowassa mtamuthamini akikosa?mtei atakubali kumpa uwenyekiti!? Je atakuwa anaweza akilajitabuwa maamuzi ya mafikra?je atakuwa na kumbukumbu ya kujuwa jana niliongeya nini? ,poleni sana kwa mungu mtajibu kumtumiya mtu kwa manufaa yenu!mtajibu tuuu mbele yake mungu

elimu bure inakuhusu
 
Leo nilikuwa sehemu nimekaa na wazee wawili wa CCM, japo ukawa pia tulikuwa wengi, Gazeti hili likaletwa, wale wazee wakashangaa.

Sasa makamba hii ndio nn, wakati wote tuliona akijiuzulu?

Nami nikasema moyoni kweli ukiwa karibu nakufa unaropoka, CCM hivi wanazani kuna wengi wananunua magazeti? Kuna watu wanasikia tu redioni vichwa vya habari, kusema lowasa alifukuzwa wakati kila mtu anajua alijiuzulu ni kosa la kiufundi katika Propaganda
 
Inapita ccm wala hana shida magufuli Raisi ila kazi ipo hapo mmemtumiya huyo lowassa mtamuthamini akikosa?mtei atakubali kumpa uwenyekiti!? Je atakuwa anaweza akilajitabuwa maamuzi ya mafikra?je atakuwa na kumbukumbu ya kujuwa jana niliongeya nini? ,poleni sana kwa mungu mtajibu kumtumiya mtu kwa manufaa yenu!mtajibu tuuu mbele yake mungu

We hata hujafika la 7 umeishia 4 au 2 kuandika hujui kiswahili hukifahamu, umetoka chooni ukaunganishwa na jf baada ya kumuona jirani yako ana cm ya kufuta, kwa ushauri tu, rudi shule kwanza.
 
Back
Top Bottom