uliza gharama waliyotumia ccm kuandaa huo mkutano utalia machozi MwanaDiwani @ juliana shonzaInakuwaje mkutano wote watu wamevaa uniforms...this means waliohudhuria wote ni wanachama, au wamepewa hizo uniforms ili waende mkutanoni!
CCM imeona Njia Raisi ya Kushinda Ubunge Arusha ni kuwanunua viongozi wa chadema wanaonunulika- utakuja kusikia kwamba hawa ndiyo watakuwa wagombea ubunge wa CCM.
kiukweli Hapana njia yoyote CCM itakayotumia kushinda Chadema. Chadema Arusha ni sawa na damu na mwili.
Mumeo katosheka kweli?

Kwani viongozi wa chadema wamekuwa karanga wananunuliwa?CCM imeona Njia Raisi ya Kushinda Ubunge Arusha ni kuwanunua viongozi wa chadema wanaonunulika- utakuja kusikia kwamba hawa ndiyo watakuwa wagombea ubunge wa CCM.
kiukweli Hapana njia yoyote CCM itakayotumia kushinda Chadema. Chadema Arusha ni sawa na damu na mwili.
Ujue nyie wakenya wajinga sana nendeni mkapambane na wasomali toe ujinga wenu wa kuingilia mambo ya nchi yetu.uliza gharama waliyotumia ccm kuandaa huo mkutano utalia machozi MwanaDiwani @ juliana shonza
Inakuwaje mkutano wote watu wamevaa uniforms...this means waliohudhuria wote ni wanachama, au wamepewa hizo uniforms ili waende mkutanoni!