ha haaa !! Jamani jamani watanzania tunaelekea pabaya. Hawa watoto ni innocent bado wala hawajui ugumu ya maisha, hii ni mida ya michezo na maburudiko sio kujitosa kwenye uwanja wa mapambano wa kisiasa.Mie naona ni kama child abuse ati. kisheria mwananchi anaruhusiwa kupiga kura akiwa na mika 18 sasa hawa watoto ni bado vidudu tui. Mkienedelea na design hii inamaana watoto hawana choice ya kujichagulia vyama yeyote ingine na kujilazimisha kufuata nyayo ya wazazi. god bless Tanzania.