Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,116
- 4,773
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]So wewe ni Lema? Siku zote umeficha identity until today?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]So wewe ni Lema? Siku zote umeficha identity until today?
Mdee ndio anazeeka hivyo, mwambieni aolewe mapema..!! 😊
Kwahiyo CC ya Chadema ina wajumbe watatu!Kabla ya CC leo, fursa ya kuteta na wajumbe wenzangu mambo mbalimbali wakati wote inaleta furaha na matuini. Chadema ni tumaini kwa Watanzania.
![]()
![]()
![]()
Si kila mwanamke Mkuu kipaumbele chake ni kuolewa.,
Basi atakuwa na ki ben ten..!! 😅 Anyway namtani tu Halima ni rafiki yangu bana, just kidding
Huna hoja weweMdee ndio anazeeka hivyo, mwambieni aolewe mapema..!! [emoji4]
So wewe ni Lema? Siku zote umeficha identity until today?