Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,203
- 162,773
Kabla ya CC leo, fursa ya kuteta na wajumbe wenzangu mambo mbalimbali wakati wote inaleta furaha na matuini. Chadema ni tumaini kwa Watanzania.
So wewe ni Lema? Siku zote umeficha identity until today?Kabla ya CC leo, fursa ya kuteta na wajumbe wenzangu mambo mbalimbali wakati wote inaleta furaha na matuini. Chadema ni tumaini kwa Watanzania.
![]()
![]()
![]()
Hizi ndio gharama za uhuru wa mawazo!So wewe ni Lema? Siku zote umeficha identity until today?
[/QUOTE]People’s Powerrrrrrrrrrrrr
✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
QUOTE="Salary Slip, post: 30927156, member: 84376"]Kabla ya CC leo, fursa ya kuteta na wajumbe wenzangu mambo mbalimbali wakati wote inaleta furaha na matuini. Chadema ni tumaini kwa Watanzania.
![]()
![]()
![]()
Jiwe mwenyewe na watu wake hawaaminiani.Ushauri wangu tu wa bure imalisheni kitengo chenu cha usalama, naona mnapigwa pigwa sana kirahisi. Naona hamna kuaminiana tena.
how?Jiwe mwenyewe na watu wake hawaaminiani.
Mungu wabariki MakamandaKabla ya CC leo, fursa ya kuteta na wajumbe wenzangu mambo mbalimbali wakati wote inaleta furaha na matuini. Chadema ni tumaini kwa Watanzania.
![]()
![]()
![]()
Ushauri wangu tu wa bure imalisheni kitengo chenu cha usalama, naona mnapigwa pigwa sana kirahisi. Naona hamna kuaminiana tena.
Wewe ukoje, mbona una mawazo madogo sana, unatakaje HALIMA awe LEMMA,So wewe ni Lema? Siku zote umeficha identity until today?