PreGE2025 Makalla: Mbeya itabaki kuwa ngome ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,309
Reaction score
18,490
Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu.



Amesema kata zote zitakuwa chini ya CCM na vivyo hivyo kwa majimbo.

Makalla, ameyasema hayo leo, jijini Mbeya, wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho katika Ofisi za CCM Mkoa na baadaye jioni anatarajia kufanya mkutano wa hadhara.
 
Huo ndio ukweli mtupu,..
 
Hayo ndio maagizo wamewapa vyombo vya dola wahakikishe inakuwa hivyo?
 
Makalla sio mda atafunguliwa kesi kwenye mahakama za kimataifa, mpaka ilo tumbo liishe
 
Kasahau kuchamba mavi ya jana anapigia mswaki tena
 
Aombe msamaha kwanza kwa uchochezi, kuleta taharuki, kuihujumu nchi kwa kauli Tata.
 
Kwani huyu akili kazipeleka wapi jamani, mbona alivyokuwa RC Mbeya kidogo alikuwa na akili au ndo chakula cha bure kinawehusha watu??
 
😁😁😁 Ni lini Mbeya ilikuwa ngome ya ccm ebu tuwe serious jamani😁😁😁 Mbeya hii hii ya Rais sugu au kuna Mbeya nyengine??
Maajabu haya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…