Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,622
- 167,462
Si zimeshapigwa marufuku kwa hiyo zitapotea! Maisha magumu pia huchangia ili mdada amvutie kidume apate kula
wadau wa ujasiriamali, hiii tuiite ni innovation, adding value to product?........Tena siku hizi baada ya kuona dawa zao za kuongeza m.a.ta.ko na hips hazitoki sana, wameamuua kutengeneza ch.u.pi zenye siponji kwa nyuma ili mwanamke ukivaa uonekane una ta.ko...........nyingine wameamua kuweka siponji kwa pembeni ili ukivaa uonekane una hips.
Cha ajabu vitu vyote hivi wenyewe wala hawatumii wapo natural tu.
Totally ryt mkuuSi zimeshapigwa marufuku kwa hiyo zitapotea! Maisha magumu pia huchangia ili mdada amvutie kidume apate kula
........Tena siku hizi baada ya kuona dawa zao za kuongeza m.a.ta.ko na hips hazitoki sana, wameamuua kutengeneza ch.u.pi zenye siponji kwa nyuma ili mwanamke ukivaa uonekane una ta.ko...........nyingine wameamua kuweka siponji kwa pembeni ili ukivaa uonekane una hips.
Cha ajabu vitu vyote hivi wenyewe wala hawatumii wapo natural tu.
Pretty umeniua kabsaaaaa!! hivi are you being serious on this?? OMG!!
I'm serious my dear!! Mbona zipo hapa bongo, wanawake tuna kazi we acha tu....chu.pi hizi za kujaladia ma.ta,ko na hips zipo shost hapa mjini, we tembelea boutique za mitaa ya sinza ukajionee mambooo!!
Wanawake wa kichina hawana ****** makubwa yenye mvuto..
Wamepigwa pasi,
Hawana hips wala hawavutii kwa kuwaangalia.
Wao wanajua kuwa kuwa na ****** makubwa na mahips kunamvutia kila mwanamume rijali,
Lakini na kujua yote hayo, hawatetereki na hawasikiti kwa kuwa na maumbo waliyonayo.
Dawa za kuongeza makalio zinatengezwa kwao,
Wao hazitumii na wala hawana muda nazo.
Swali la kujiuliza, je sisi tumelaaniwa?
Kwanini hatujithamini na kujikubali?
Je uzuri wa m wili una Faida gain wakati uzee waja upesi?
Je tuanze kuamini kuwa sisi watu weusi ni manyani twashindwa kupembua na kuchambua hata mambo madogo?
Au ndio ile laana ya motto wa Nuhu baada ya gharika?
Au ndio kweli kuwa tu wa zuzu magic?
Safari kweli ni ndefu, hatuendi shurti kwa viboko.
Mzizi wa tatizo ni miji-anaume ya kiafrika! Inapenda ngono sana.. saa zote inawaza ngono... Wanawake wa kichina hawawezi kufanya hivi kwani wanaume wao wanawapenda kama walivyo.
makubwa!!! sasa hapo unakuwa unamdanganya nani hasa kama si wewe mwenyewe!!! na imagine unapata ajali loh!!!