Habari zenu,
Nna tatizo la weusi kwenye Makalio na bikini line (katikati) pamoja na vipele vigumu chini ya makalio. Anaejua namna ya kuondoa hili tatizo naomba anisaidie, nakosa raha haswa nkiwa faragha.
Habari zenu,
Nna tatizo la weusi kwenye Makalio na bikini line (katikati) pagoda na vipele vigumu chini ya makalio. Anaejua namna ya kuondoa hili tatizo naomba anisaidie, nakosa raha haswa nkiwa faragha.