Makala ya Maji ni Uhai - Wilaya ya Ludewa

Makala ya Maji ni Uhai - Wilaya ya Ludewa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,429
Channel Ten- Saa 2.30 Usiku (Saa Mbili na Nusu Usiku) Leo hii Jumatano Tar 14/08/2024

Karibuni sana kutizama Makala maalum ya Maji ni Uhai- ambayo inaangaza kazi ambazo zinaendelea kufanyika katika Sekta ya Maji Wilayani Ludewa.

Karibuni mjionee kazi kubwa anayofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuendelea kugusa maisha ya Watanzania haswa kupitia huduma ya Maji.
Lengo na dhamira ni kuhakikisha Watanzania wanapata Maji Safi, Salama na yenye Ubora na kutosheleza na kazi hiyo inaendelea Wilayani Ludewa.

#Ludewa #LudewaYetu

 
Back
Top Bottom