N'yadikwa JF-Expert Member Aug 10, 2014 7,121 10,232 Jun 6, 2016 #1 Hawa CCTV Africa wameitendea Haki makala hii ya Mlima Kilimanjaro. Safi sana.
W wa hapahapa JF-Expert Member Aug 22, 2012 7,455 4,388 Jun 6, 2016 #2 Ipo vzr. Media za bongo waige mfano.
klins JF-Expert Member Feb 8, 2012 602 206 Jun 6, 2016 #3 Basi tuwe hata na mwamko wa Kutangaza rasilimali zetu, ahsnt kwa makala nzuri
All TRUTH JF-Expert Member Nov 20, 2011 5,453 2,570 Jun 6, 2016 #4 Imenivutia itabidi niende kuutembelea
ngafu.fijo JF-Expert Member Oct 3, 2015 1,237 1,099 Jun 6, 2016 #5 Nimeipenda hii imenilazimu nitafute parts zote zilizobaki....
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Jun 6, 2016 #7 Hivi huu mlima upo exactly wilaya ya Rombo peke yake au ni wilaya ipi/zipi ambazo huu mlima ndio ulipo..
Hivi huu mlima upo exactly wilaya ya Rombo peke yake au ni wilaya ipi/zipi ambazo huu mlima ndio ulipo..