Makahaba vitani

FLASH HIDER

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
397
Reaction score
508
Ndugu zanguni, nimewahi kuambiwa kuwa kutokana na wanajeshi wa Marekani kukaa muda mrefu kwenye uwanja wa vita huko Iraq bila kukutana na wanawake, utendaji wa wanajeshi hao ulianza kupungua. Kufuatia hali hiyo, Jeshi la nchi hiyo liliamua kupeleka ndege rasmi yenye makahaba kwa ajili ya kuwahudumia wanajeshi hao. Kuna mwingine amewahi kusikia habari hii? Kama ndiyo, kuna ukweli wowote wa wanajeshi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kivita kutokana na kukosa mwanamke?
 
uliambiwa na nani? kwa nini usitumie reference yako mwenyewe ukapata majibu? wanajeshi ni kama wewe wapo kazini nawe jiweke kwenye position yako upo kazini for the same interval je utaathirika? vitu vingine mnajipatia majibu wenyewe sio lazima kila kitu uulize!
 
Sehemu zenye vita ubakaji mwingi sana. Huko Afghanistan haramzade kibao, wamarecan wamebebesha wanawake wa watu mimba kiholela
 
Mahitaji ya binadamu ni yapi?
Utendaji wa mtu waweza pungua kwa kukosa mahitaji yake muhimu?
Unauliza maswali kama una genye?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…