TEAMSOLUTIONCONSULTATION
Member
- Feb 3, 2021
- 20
- 15
DuhWewe ni serikali au tra, umeingia kwa fujo ..sasa hivi hakuna biashara inafanyika
Hahaha kufanya makadirio haitegemei biashara boss; hatakama tumepata loss bado zoezi linafanyika...bola kutiiWewe ni serikali au tra, umeingia kwa fujo ..sasa hivi hakuna biashara inafanyika
Inawezekana kufanya makadiro kabla ya wakaguzi (ripoti) wa/ya mahesabu. Kwasababu ukaguzi (ripoti) wa/ya mahesabu hupelekwa kabla ya 31/6 lkn makadirio hufanywa kabla ya 31/3.Unaweza fanya makadirio bila wa kaguzi wamahesabu?
Makadirio unafanye wewe mwenyewe, ama mhasibu wako lkn unaweza tumia mkaguzi wa mahesabu wako pia. Kutegemea level ya biashara yako...Unaweza fanya makadirio bila wa kaguzi wamahesabu?
Tupo Dar; ingawa kwa mtandao tynafika kote kote.Hayo ya kusajili tayari.. wazee wanataka ku file returns za mwaka sijui ndio makadirio wapeleke TRA kabla ya deadline kuisha..
Mko mkoa gani?
FAIDA (30%) unayotegemea kupata kwa LTD;Makadirio nayafanya kutokana na mapato nayotegemea kupata kwa mwaka au faida nayotegemea kupata?
Kwa ufahamu kodi unakadiliwa kutokana na faida unayo patikanaFAIDA (30%) unayotegemea kupata kwa LTD;
kwa mtu binafsi/jina la biashara (INDIVIDUAL)kodi inakadiriwa kutegemea na KIPATO (TURN OVER) unachotarajia kupata
Okay. Je hii ni sawa na cooperate 30% nitakayotakiwa kulipa mwaka unaofuata?FAIDA (30%) unayotegemea kupata kwa LTD;
kwa mtu binafsi/jina la biashara (INDIVIDUAL)kodi inakadiriwa kutegemea na KIPATO (TURN OVER) unachotarajia kupata
Ni YenyeweOkay. Je hii ni sawa na cooperate 30% nitakayotakiwa kulipa mwaka unaofuata?
Pole mkuu, ila sema mimi sifanyi biashara usiseme watz, wapo wanaofanya biashara na hao sasa hivi wako karikoo hawako JF kulalamikaWatz hatufanyi biashara ,tuna kadi tunasubiria teuzi ,hela za kuendeshea inchi tutapata kwa tunao waita mabeberu.