Mkuu, hawa ni makada wa CHADEMA waaminifu, at the end o the day wanaweza kuwa makamanda, nadhani ukiwaamsha ndotoni neno la kwanza kutamka litakuwa CHADEMA!
hahahahahahhahahahahahahah Umenivunja Mbavu Kwa Kicheko Kamanda........yaaaaaan Ni Kweli Tupu Hao Ni Makada Wa Chadema!
sijakuelewa kajipange au nipange nikueleweKwa mtazamo wangu, ningetegemea makamanda wa CHADEMA, wangekuwa watetezi wa mitazamo, maono na sere za CHADEMA, na ndivyo walivyo!
Na vivyohivyo makada wa CCM, nao wangekuwa watetezi wa maono, mitazamo na sera za CCM, lakini kila ninapoingia mitandaoni naiona CHADEMA zaidi ikitangazwa kwa staili tofauti kutoka pande zote yaani CCM na CHADEMA, my conclution nimegundua kuna makamanda wa CHADEMA na makada wa CHADEMA, kutegemea na jinsi mtu husika anavyo wasilisha maada yake kuhusu CHADEMA.
Makamanda, tuwapendeni hawa ndugu zetu makada wa CHADEMA.
Huyu Ritz naona kidogo akili inalejea kwenye njia yake au Nape amepunguza huduma kwa hiyo yuko kwenye mgomo baridi...
sijakuelewa kajipange au nipange nikuelewe
Mbona cdm wanadeal na ccm hamsemi.
Chadema mwendo mdundo.tena imevunja rekodi ya vyama vya upinzani.
1 sijawai kuona chama cha watu waoga kama hichi.mara ngapi polisi wanawatimua.mwz 2010 kwenye harakati zenu pale jiji, kilipotifuka sijaona hata mende mmoja aliebaki.
ubungo juzi watu wamekimbiza kama bweha.
lakini rudi enzi ya cuf polisi wanayakumbuka mafuso.
2 mnabahati rais aliopo ni mtu muungwana.kama angekuwe mzee wa uwalaza mngetosha kwenye tenga.
hizi ni jazba sasa.
mmeamka na siasa za bongo flever. huko ndo kuvunja recod.
1 pale hai yupo dj mzee wa b....s
2 pale mbeya yupo mzee wa mistali
wafuasi wamekuwa washabiki hata hawasikii la mtoa adhana wala mkim swala.