You are right! Nilishangaa sana kuona utumishi wakihitaji CV za hao wateule kupelekwa utumishi baada ya kuteuliwa. Ndo nilipojiuliza inawezekanaje muajiri kumuajiri MTU kabla hajapitia CV yake? Nafikiri hii inatokea tz tu.
Mjomba umeshaandika jibu hapo alaf kama unalikana au unaogopa milion 7 ? Kifupi ni mwendo wa kukurupuka.. Yan kama inaendeshwa na madereva wa city boys
Hata Mkulu ni Chemist lakini anafanya kazi ya Administration and Political Management. Acheni vijana wa Jakaya wapige kazi. Watapata JD huko huko na watajifunza. Nyie jiandaeni kwa J23