Makada wa CCM waibua mjadala

Watu bwana; mkiambiwa uzoefu miaka 20 mnalalamika, wakiajiriwa wasio na uzoefu bado mnalalamika. Lipi ni lipi wandugu?
 
Kwa hiyo kila kinachosemwa na MAGAZETI kwako ni sahihi.....SASA ni kwanini povu huwa linakutoka pale tu MAGAZETI YANAPOWAANDIKA VIONGOZI WENU.....????
Mkuu povu mbona yapo lumumba unaweza kufulia nguo na ikatakata sana tu
 
Jamaa kweli hashauriki kwa kiwango cha lami! Kwa DAS hata ambae hana diploma angeelewa kuwa wanatokana na watumishi wa umma na sio teuzi kama wana siasa! Ile Ile permanent and pensionable
 
List of shame walikurupuka kuiweka 2007 na wakakurupuka kuitoa 2015 kwny Tovuti ya Chama.
Yaani hata kwenye udas uliokosewa wamejaa wagala nahapo mtasema hatujasoma kweli ccm mnatufanyia hivi kweli
 
Naona mzee anatafuta jinsi ya kutoka 2020 kwani inavyo onekana watanzania wamesha mchoka.
 
Watu bwana; mkiambiwa uzoefu miaka 20 mnalalamika, wakiajiriwa wasio na uzoefu bado mnalalamika. Lipi ni lipi wandugu?
Kuna kazi zinahitaji uzoefu na kuna kazi hazihita uzoefu mkubwa sana. Lakini inategemea kwa unyeti wa kazi. Sasa hao waliopendelewa na kuzawadiwa nafasi kwa fadhila wengi wao ni vichwa panzi.

Tatizo la tanzania tunaendekeza siasa uchwara sana na hakuna nchi duniani ilishawahi kufanikiwa kwa kuendesha shughuli za kiserekali kisiasa uchwara. Hata huyu wa sasa mpendwa wetu na mtakatifu kashafeli tayari.
 
You are right! Nilishangaa sana kuona utumishi wakihitaji CV za hao wateule kupelekwa utumishi baada ya kuteuliwa. Ndo nilipojiuliza inawezekanaje muajiri kumuajiri MTU kabla hajapitia CV yake? Nafikiri hii inatokea tz tu.
 
Wizara ya Utumishi imeshindwa kabisa kumshauri Rais!
Nimekumbuka Kibonzo cha DW baada ya kuona post yako. Kiongozi huyo huyo ndo jaji, ndo mtunga sheria, ndo mtawala, ndo mshauri wa body zingine. Very bady
 
You are right! Nilishangaa sana kuona utumishi wakihitaji CV za hao wateule kupelekwa utumishi baada ya kuteuliwa. Ndo nilipojiuliza inawezekanaje muajiri kumuajiri MTU kabla hajapitia CV yake? Nafikiri hii inatokea tz tu.
Kaka ukiona nchi inaendeshwa kwa kuungaunga kwa mtindo huu ujue watoto wa walalahoi hatuna chetu na yule anaejipambanua kuwapigania maskini ni mnafiki wa kutupwa tena hatari kuliko sumu ya nyoka.
 
Reference ya utawala wa nchi yetu ni Chadema au ni akili zako ndogo tu? Please nisaidie

Nimetumia kama reference ya ukurupukaji. Kwan we hukubali kuwa kuweka na kuitoa list of shame kwny tovuti ya chama ni mfano wa ukurupukaji?
 
Naona mzee anatafuta jinsi ya kutoka 2020 kwani inavyo onekana watanzania wamesha mchoka.
Tena wanamchukia to the maximum hadi vijijini wamemshutukia jamaa ni kama mwanasesere hakiamini kile anachohubiri.
 
Watu bwana; mkiambiwa uzoefu miaka 20 mnalalamika, wakiajiriwa wasio na uzoefu bado mnalalamika. Lipi ni lipi wandugu?

Dogo elewa kinachozungumzwa hapa! Tatizo ni ukiUkwaji wa sheria za kuajiri, wewe unavijua vigezo vya kuwa DAS?
 
Jamaa kweli hashauriki kwa kiwango cha lami! Kwa DAS hata ambae hana diploma angeelewa kuwa wanatokana na watumishi wa umma na sio teuzi kama wana siasa! Ile Ile permanent and pensionable
Kama uteuzi wa DAS kuna sheria yyte imeweka wazi uteuzi huo lazima mteuliwa atoke kwenye utumishi basi kuna hoja ya msingi, lkn kama hakuna sheria basi ndo imetoka hiyo
 
Hii ni serikali ya kazi tuu, kwani inaendeshwa vipi? Kwa kukurupuka tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…