Makada nguli wa CCM wahamia CHADEMA

kazi na sala daima huzaa matunda mema kama haya. mungu kibariki chama cha demokrasia ya kweli na ukombozi wa kweli CHADEMA. Mungu baba mweza wa yote wakati wa ukombozi wako tunauona tuongoze njia salama chini ya usaidizi wa chama makini CDM amina
 
uamuzi wa busara lakini waelewe kwamba huku hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Hii ni habari njema
Ila CHADEMA vijijini bado
tunawaombeni mlifikirie hili jambo hata kama tatizo ni pesa mtuambie tuchangie
tunahitaji mabadiliko
Umenena mkuu mana kijijini ni tatizo mfano mikutano mingi tunayo enda watu wanataka bendela hakuna ko uwenezi wa chama unakuwa hauna kumbu kumbu katika vijiji hivo mana hata bendela wanakosa, ko mi nadhani wakuu wamekusia na wamenisikia ko CHADEMA IHAMIE VIJIJINI NDO MAGHARA YA CCM
 
Habari njema sana hizi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…