K Kitukula Member Joined Jul 2, 2022 Posts 9 Reaction score 6 Aug 29, 2025 #1 Vijana wengi kwenye familia wameshaakanywa mwanamke wa kabila flani acha hawana tabia nzuri lakini awajasema endapo ukimpata ishi nae hivi swali endapo mtu kadondokea sasa huko unaweza kumshauri nini?
Vijana wengi kwenye familia wameshaakanywa mwanamke wa kabila flani acha hawana tabia nzuri lakini awajasema endapo ukimpata ishi nae hivi swali endapo mtu kadondokea sasa huko unaweza kumshauri nini?
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 12,061 Reaction score 37,427 Aug 29, 2025 #2 Andika vizuri bana mbona unaandika kama unakimbizwa