Utwamasiku kikolo??najua utakuwa mnyakyusa weweWanyakusa =mweee



Hahaaaa hapana mkuu mi kwetu Zenj sema nimekaa nao sana nawajua nje ndani.Utwamasiku kikolo??najua utakuwa mnyakyusa wewe![]()
Mbe kwa kichaga ni babaWakurya = Mbee
Hahahaha sawa mkuuHahaaaa hapana mkuu mi kwetu Zenj sema nimekaa nao sana nawajua nje ndani.
Kwan kuwa mhehe ni tatzo?mbna unakataa mapema?Wahehe - Bee
Sio Mhehe mm




Kabisa lako wanashangaaje?
Nimejibu kama mtoa Uzi alivyotakaKwan kuwa mhehe ni tatzo?mbna unakataa mapema?