Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa....

Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa....

Vandullahvic

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
24
Reaction score
3
Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa, yanapendezesha nyumba sana.... Unaweza kutumia kuwekea vitu vya mtoto... Km nguo zake, sabuni.....na kadhalika na hata watu wazima wanaweza kuwekea vitu tofauti...
Ni ya plastic na ni imara sana.
Ukitaka jumla na rejareja vyote tunauza.
Angalia picha nimeweka sample.

Wahi sasa mzigo unaingia week hii....
Mawasiliano 0715/0777-875037
 
Attachments

  • KABATI.jpg
    KABATI.jpg
    33.3 KB · Views: 832
Vandu, ni kweli yanapendeza sasa, yakiwasili usisahau kunifahamisha bei yake kwa moja ni kiasi gani, na wapi yatakuwepo.

siku njema.
 
ok usijali kaka Mangulu.... natarajia after 5 days yatakua yashafika.. bei yake ya drawer 5 ni laki na 80 na ya drawer 4 ni laki na sitini.
Ila naomba unipigie simu ndo itakua rahisi kukujuilisha na kuniuliza....
ahsante mkuu
 
Ni mazuri kwa kweli. Kwa nini unangangania upigiwe simu na wewe ndio mfanya biashara. Weka bei humu sema kama punguzo lipo ili wana jamii wote waelewe. Mtu akiweka tangazo ooh nipmc- nini maana ya forum sasa.
 
Yakifika tujuze mi nitachukua manne au matatu kutegemeana na bei yako

Alfredmkohiatgmaildotcom
 
Musijali wana jamii... yakiwasili tu nitawajuilisha... nilisema mnipigie simu kwa sababu hua yakija watu wajumla wanakuja kuyawahi.... msije mkakosa kwa anaetaka....

Na akohi ukichukua manne nitakupa bei ya jumla usijali kaka mkuu.

ahsanteni
 
wapi yanapatikana? vipi kuhusu wa mikoani?
 
Sisi tupo dar, godown yetu ipo magomeni. ukitaka mkoani tunaweza kuwasiliana na biashara ikafanyika....kwani upo wapi ww mwajei?
 
vipi kuhusu uimara wake?
Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa, yanapendezesha nyumba sana.... Unaweza kutumia kuwekea vitu vya mtoto... Km nguo zake, sabuni.....na kadhalika na hata watu wazima wanaweza kuwekea vitu tofauti...
Ni ya plastic na ni imara sana.
Ukitaka jumla na rejareja vyote tunauza.
Angalia picha nimeweka sample.

Wahi sasa mzigo unaingia week hii....
Mawasiliano 0715/0777-875037
 
Musijali wana jamii... yakiwasili tu nitawajuilisha... nilisema mnipigie simu kwa sababu hua yakija watu wajumla wanakuja kuyawahi.... msije mkakosa kwa anaetaka....

Na akohi ukichukua manne nitakupa bei ya jumla usijali kaka mkuu.

ahsanteni

Nashukuru kaka, yakija nishitue 0715/784/764 800989

Alfredmkohiatgmaildotcom
 
haya makabati ni bei gani,maana kuna mahali nimeyakuta bei imechangamka kweli...
 
Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa, yanapendezesha nyumba sana.... Unaweza kutumia kuwekea vitu vya mtoto... Km nguo zake, sabuni.....na kadhalika na hata watu wazima wanaweza kuwekea vitu tofauti...
Ni ya plastic na ni imara sana.
Ukitaka jumla na rejareja vyote tunauza.
Angalia picha nimeweka sample.

Wahi sasa mzigo unaingia week hii....
Mawasiliano 0715/0777-875037
Yametulia sana mie nishajikamatia moja
 
Yakifika tujuze mi nitachukua manne au matatu kutegemeana na bei yako

Alfredmkohiatgmaildotcom

Kiongozi longtime saaaaaaana sijakutia machoni toka enzi za PPF tower upooooo hahaaaaha
 
Makabati ya watoto mazuri na ya kisasa, yanapendezesha nyumba sana.... Unaweza kutumia kuwekea vitu vya mtoto... Km nguo zake, sabuni.....na kadhalika na hata watu wazima wanaweza kuwekea vitu tofauti...
Ni ya plastic na ni imara sana.
Ukitaka jumla na rejareja vyote tunauza.
Angalia picha nimeweka sample.

Wahi sasa mzigo unaingia week hii....
Mawasiliano 0715/0777-875037

vipi makabati Bado tapped?nayapataje?
 
utayapata mkuu nipigie simu nipo magomeni morroco hotel... its better uwahi yasije yakaisha.
 
Back
Top Bottom