Uliwahi kuona usanii wa mwili wa binadamu wa aina hii! Msichana huyu alitundikwa na msanii kwa kutumia vyango vya chuma na kamba. Msanii huyu kutoka Bosnia and Herzegovina anaitwa Dino Helvida, amefanya hivyo mara nyingi kwa kushirikiana na mchumba wake.