technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,636
- 58,311
Acha watu waumie kwanza wajifunze jinsi ya kuchagua kiongozi sio mtawala ....Nakumbuka waliimba kwa dharau, mikogo, majigambo, makeke, majivuno, na kila aina ya mbwembwe.
Wenyewe waliimba eti 'CCM mbele kwa mbele'
'Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele'
'Na wavimbe wapasuke, watajijua wenyewe'
'Acha waisome namba, watasoma namba'
'CCM mbele kwa mbele'
'CCM ni ile ile'
Lakini jambo lililo shani sasa hivi ni ukimya wao. Wamekuwa kete kabisa. Ngebe zimeisha. Hawapayuki payuki tena kama ilivyokuwa awali.
Ni kama vile fungate limeisha na sasa wamerudi katika uhalisia. Lakini pengine kuna la zaidi hapo.
Naona kuna kila dalili ya majuto ya ununuzi. Kwamba walichokipigia debe na mwishowe kukinunua sicho walichokidhania. Sasa wana 'buyer's remorse'.
Wanajuta lakini wanashindwa kusema na kukiri hadharani kuwa walikosea. Kwamba waliingizwa kingi na wao wakaingia kichwa kichwa bila kutafakari kwa umakini.
Hata humu wamepungua siku hizi. Wamebaki kuugulia kimya kimya tu. Hawana tena cha kutetea.
Huyo waliyempenda wenyewe kila afunguapo mdomo wake lazima aache wazi midomo ya wamsikilizao.
Ila wengine tulishasema humu kuwa huyo waliyempenda wenyewe ni bomu. Na wala haikuwa kazi ngumu kujua kuwa hata kabla ya kupendwa alikuwa ni bomu.
Sasa vilio vimejaa kila kona. Manung'uniko kila pembe. Na minong'ono ya kumtema ishaanza.
Hapa kazi tu imegeuka na kuwa hapa maumivu tu. Kila mtu anaisoma namba. Hata wale waloimba kuwa wenzao wataisoma namba nao wanaisoma namba. Labda wangeimba 'tutaisoma namba'π.
Majuto ya mnunuzi na majuto ni mjukuu.
Alamsiki.
NB: Uongo mbaya jamani...CCM mbele kwa mbele ni bonge la songi. KTMA tuzo vipi hapo?
wa ndio dola lakini dola wakashika makontena ya mamake tatizo la malezi mabovu hii clip itamkost sana dogo hata baada ya miaka elfu moja kama mpaka leo yuda escariot amabe hata picha ya sura hatuijui lakini usaliti unamgharimu yeye itakuwajeUnamkumbuka huyu?
Hata suku hizi haonekani kabisa. Jamaa anawachosha sana juzi wakati tunawatetea chinga walisema lazima miji iwe safi. Jamaa kawapindua mpaka ngebe zimewaisha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji736] [emoji736] ccm mbele kwa mbeleutamkuta Wakudadavuwa anapiga mizinga hadi analia
nilishawahi tabiri huko nyuma ccm ipo siku watakuwa wa kwanza kuidai katiba ya warioba kuliko UKAWA,Halafu walikuja kukosea walivyompa mpaka uenyekiti wa chama. Sasa hawana namna ya kumpunguza kasi hata pale anapowakanyaga wao wenyewe kwa style yake ya mwendo kasi.
Hapa kiza tuNakumbuka waliimba kwa dharau, mikogo, majigambo, makeke, majivuno, na kila aina ya mbwembwe.
Wenyewe waliimba eti 'CCM mbele kwa mbele'
'Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele'
'Na wavimbe wapasuke, watajijua wenyewe'
'Acha waisome namba, watasoma namba'
'CCM mbele kwa mbele'
'CCM ni ile ile'
Lakini jambo lililo shani sasa hivi ni ukimya wao. Wamekuwa kete kabisa. Ngebe zimeisha. Hawapayuki payuki tena kama ilivyokuwa awali.
Ni kama vile fungate limeisha na sasa wamerudi katika uhalisia. Lakini pengine kuna la zaidi hapo.
Naona kuna kila dalili ya majuto ya ununuzi. Kwamba walichokipigia debe na mwishowe kukinunua sicho walichokidhania. Sasa wana 'buyer's remorse'.
Wanajuta lakini wanashindwa kusema na kukiri hadharani kuwa walikosea. Kwamba waliingizwa kingi na wao wakaingia kichwa kichwa bila kutafakari kwa umakini.
Hata humu wamepungua siku hizi. Wamebaki kuugulia kimya kimya tu. Hawana tena cha kutetea.
Huyo waliyempenda wenyewe kila afunguapo mdomo wake lazima aache wazi midomo ya wamsikilizao.
Ila wengine tulishasema humu kuwa huyo waliyempenda wenyewe ni bomu. Na wala haikuwa kazi ngumu kujua kuwa hata kabla ya kupendwa alikuwa ni bomu.
Sasa vilio vimejaa kila kona. Manung'uniko kila pembe. Na minong'ono ya kumtema ishaanza.
Hapa kazi tu imegeuka na kuwa hapa maumivu tu. Kila mtu anaisoma namba. Hata wale waloimba kuwa wenzao wataisoma namba nao wanaisoma namba. Labda wangeimba 'tutaisoma namba'π.
Majuto ya mnunuzi na majuto ni mjukuu.
Alamsiki.
NB: Uongo mbaya jamani...CCM mbele kwa mbele ni bonge la songi. KTMA tuzo vipi hapo?
Afu ukute wamama hao WAMEJAAALIWA!Kusema ukweli ni bonge la ngoma.
Kuna siku nilipita pale Mwenye nikawaona wamama wa CCM wakiucheza....ebana ilibidi nipaki gari pembeni niwaangalie walivyokuwa wakinenguka.
Ilikuwa ni burudani kwelikweli.
wa ndio dola lakini dola wakashika makontena ya mamake tatizo la malezi mabovu hii clip itamkost sana dogo hata baada ya miaka elfu moja kama mpaka leo yuda escariot amabe hata picha ya sura hatuijui lakini usaliti unamgharimu yeye itakuwaje
πππ π±π± ππππππππππ!Serikali imekuwa kama big Brother, kila wiki kuna anayetolewa
Hivi Ngabu uko wapi Dar au USA babyKusema ukweli ni bonge la ngoma.
Kuna siku nilipita pale Mwenye nikawaona wamama wa CCM wakiucheza....ebana ilibidi nipaki gari pembeni niwaangalie walivyokuwa wakinenguka.
Ilikuwa ni burudani kwelikweli.
Nipo Ikungulyabashashi huku Simiyu wajina wangu[emoji23] .Hivi Ngabu uko wapi Dar au USA baby