Majukumu ya kitaifa ya Mpina

Majukumu ya kitaifa ya Mpina

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,611
Reaction score
1,864
Habari, wakuu,

HIvi karibuni, kulitkea DRAMA kati ya Luhaga Mpina na Samina na Bashe,

Tukaambiwa tumwachie ana Majuukumu naye, je ndio hayo kwenda ACT?
 
Kuna watu wanasema Bashe anautaka uwaziri mkuu?
Msomali waziri mkuu. Hivi watu wanauchukuliaje uwaziri mkuu wa jam jamhuri ya muungano?
 
Ningewaambia kwann MPINA kaenda ACT , ila nikiandika hapa, WATAMBDHIBITI MAPEMA.

MPINA hataki Urais!!.
Mpina na Salum wamelenga ukuu wa mkoa.
Unakymbuka wale wagombea urais wa kuzuga waliogombea na Magufuli walipewa asante ya ukuu wa mkoa. Mmoja katangulia na kwini nadhani bado ni mwana ccm imara na mkuu wa mkoa.
 
Hapana, MPINA ni mkubwa kuliko Ukuu wa mkoa .

ASILI ya MPINA ni kukosoa ambapo panavuja.
 
Kwa sasa lazima utamke maneno ya jumlajumla habari ni kwamba october hakuna uchaguzi na haupo kabisa
Bado ni jumla jumla tu bandugu... watu wanachukua form kwa sasa, labda Dr.Malisa afanikiwe katika ile kesi yake, halafu wamengue mgombea wa ccm kwa kutofuata mchakato wa ndani, na baada ya hapo Chaumma na Act wapige vigeregere...
 
Mahakama ni za CCM
 
Kuna watu wanasema Bashe anautaka uwaziri mkuu?
Msomali waziri mkuu. Hivi watu wanauchukuliaje uwaziri mkuu wa jam jamhuri ya muungano?
Mbona hivi sasa tuna naibu waziri mkuu ambaye ni mtusi wa Rwanda na hushangai?
 
Back
Top Bottom