King Zenji
Senior Member
- Feb 18, 2008
- 178
- 18
Habari za asubuhi JF. Nawapa kionj cha leo hapa ili kazi iendelee
Hizi nguo za wadogo zao wanazipenda ili kututia mashaka tu
malimbukeni bwana hivi mtu mrembo
kwanini akae uchi namna hii
mbona kule saudia mabinti ni
warembo mbaya lakini
wamejifunika gubigubi
wooote wanaokaa nusu uchi
LAZMA KUNA KASORO WANAZO